A.UTANGULIZI
Idara ya Ujenzi ni mojawapo ya idara katika Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa, inayofanya kazi kwa mujibu wa sheria ya uanzishwaji wa serikali za mitaa, Tanzania. Idara ya Ujenzi imegawanyika katika sehemu tatu,
1.Sehemu ya Barabara
2.Sehemu ya Majengo
3.Sehemu ya Mitambo na Umeme
B.MAJUKUMU YA IDARA
1.Kusimamia matengenezo ya majengo yote ya Halmashauri ya Wilaya, Kilosa
2.Kusimamia matengezo ya magari ya Halmashauri ya Wilaya,Kilosa
3.Kufanya tathimini ya miundombinu ya barabara za Halmashauri ya Wilaya, Kilosa na kufanya makadirio ya gharama za matengenezo
4.Kusimamia wakandarasi wote wanaofanya kazi katika Halmashauri ya Wilaya,Kilosa
Idara ya Ujenzi imegawanyika katika sehemu tatu,
1.Sehemu ya Barabara
2.Sehemu ya Majengo
3.Sehemu ya Karakana
Halmashauri ya Wilaya Kilosa
Sanduku la posta: S.L.P 65 Kilosa
Simu: 023 2623093
Simu: 0737-847-880
Barua Pepe: ded@kilosadc.go.tz
Hatimiliki imehifadhiwa ©2017 Halmashauri ya Wilaya Kilosa