UTANGULIZI.
Idara ya Usafi na Mazingira ni moja kati ya Idara zinazounda halmashauri ya Wilaya ya Kilosa. .Jukumu kubwa la Idara ni pamoja na usimamizi wa shughuli za Usafi na uhifadhi wa Mazingira kwa lengo la kudhibiti na kuzuia kuenea kwa magonjwa yatokanayo na uchafu na kudhibiti uharibifu wa Mazingira.Hii ni katika kuboresha ustawi wa jamii ili kuleta maendeleo kwa wananchi.
KAZI ZA IDARA.
Halmashauri ya Wilaya Kilosa
Sanduku la posta: S.L.P 65 Kilosa
Simu: 023 2623093
Simu: 0737-847-880
Barua Pepe: ded@kilosadc.go.tz
Hatimiliki imehifadhiwa ©2017 Halmashauri ya Wilaya Kilosa