• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Dawati la Malalamiko |
KILOSA DISTRICT COUNCIL
KILOSA DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Utumishi
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • Mipango
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Mifungo na Uvuvi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Ardhi na Maliasili
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Nyuki
    • Muundo wa Halmashauri
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba Mbalimbali
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
    • Ripoti
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Tangazo
    • Maktaba
    • Hotuba
    • Vyombo vya Habari
    • Video

Ardhi na Maliasili

Idara ya Ardhi na Maliasili inaundwa na vitengo vikuu viwili (2) kama ifuatavyo:-

Kitengo cha Ardhi

 Kitengo cha Maliasili

1.0 KITENGO CHA ARDHI

Ndani ya kitengo cha Ardhi pia kuna vitengo vikuu vine (4) navyo ni:-

  • Usimamizi katika Ardhi (Land Management)
  •  Mipango Miji na Vijiji (Town and Rural Planning)
  • Uthamini (Valuation)
  • Upimaji na Ramani (Surveying and Mapping)

Majukumu ya Kitengo hiki

  • Kuratibu na kudhibiti uendelezaji wa Miji na Vijiji.
  •  Kuratibu uandaaji wa Mipango ya Matumizi Bora ya Ardhi Vijijini na Mijini.
  • Kujenga uwezo wa kupanga na kutekeleza majukumu ya uendelezaji ardhi kwenye Halmashauri.
  • Kuelimisha jamii kuhusu Mipango ya Matumizi Bora ya Ardhi.
  •  Kuratibu na kusimamia utekelezaji wa Mipango ya Ardhi.
  •  Kubaini fursa na vikwazo vya uendelezaji.
  •  Kufuatilia na kutathimini utekelezaji wa mipango ya Miji na Vijiji inayoandaliwa.
  • Kusimamia uendelezaji wa maeneo ya makazi.
  •  Kushughulikia maombi ya mabadiliko ya matumizi ya kiwanja, muunganiko/mgawanyo wa kiwanja.

UTHAMINI (VALUATION)

Majukumu ya Kitengo hiki

  • Kukusanya taarifa za utafiti na mwenendo wa soko la Ardhi.
  •  Kuhakiki kumbukumbu za utafiti na kuziingiza kwenye kompyuta
  •  Kupokea maombi na kufanya uthamini chini ya usimamizi wa Mthamini aliyesajiliwa
  • kukagua, kupima na kuoanisha thamani ya majengo na ardhi kwa ajili ya kumbukumbu(Data Bank)
  •  Kufanya uthamini wa malipo ya fidia, kodi za nyumba, rehani, bima, mizania (Balance sheet) na mauzo ya mal

UPIMAJI NA RAMANI (SURVEY AND MAPPING)

Majukumu ya kitengo hiki

  • Kuandaa maeneo ya kusimika alama za msingi za upimaji
  •   Kutayarisha michoro ya utambuzi (Description diagrams)
  • Kupokea na kuhakiki picha za anga kutoka kwa mkandarasi.
  • Kufanya upimaji, mahesabu na kuandaa taarifa za kazi (Demarcation, coordination, computation and compilation).
  • Kuchora plani za upimaji (Survey plan)
  •  Kuchora plani za Hati (Deed plan)
  • Kuingiza taarifa za upimaji kwenye kompyuta (alpha numeric data)
  • Kukagua kazi za upimaji na kuingiza taarifa za kazi zilizothibitishwa kwenye compyuta.
  • Kufanya upimaji picha (aerial triangulation and block adjustment)
  •  Kuandaa vikosi kwa ajili ya kuhuisha ramani (map revision)
  •  Kutunza kumbukumbu za picha za anga
  • Kusimamia na kuchukua vipimo vya tide gauge (Hydrographic survey)
  • Kufanya kazi za nje ya ofisi (field survey operations) chini ya usimamizi wa mpima aliyesajiliwa.
  •  Kutoa huduma kwa wateja (customer services)
  • Kukagua masuala ya upimaji katika Halmashauri za Jiji, Manispaa, Miji na Wilaya (technical auditing)
  •  Kupokea na kushughulikia maombi ya upimaji picha anga.
  • Kufanya maandalizi ya upimaji wa majini.
  • Kuchambua na kuchunguza taarifa mbalimbali (data analysis)
  • Kusimamia upimaji wa kumbukumbu (data bank)
  • Kuchambua na kuchunguza matokeo ya kazi za upimaji na kutayarisha taarifa ya kiufundi.
  • Kusimamia mfumo wa utayarishaji ramani kwa kompyuta.
  • Kushauri Halmashauri kuhusu masuala ya upimaji na utayarishaji ramani.
  • Kukagua kazi za upimaji na kuziwasilisha kwa Mkurugenzi wa Upimaji na Ramani
  •  Kufanya ubunifu wa ramani mpya
  •  Kutoa ushauri kwa wateja kwa ajili ya ramani maalum (thematic map)
  • Kufanya operasheni za upimaji
  •  Kufanya  uchambuzi wa takwimu (data processing and analysis)
  •  Kutayarisha alama za upimaji (survey plan beacons)\
  •  Kupanga na kuandaa mahitaji ya kambi za upimaji, vifaa vya upimaji na mahitaji ya jumla.
  • Kuandaa na kuchambua vifaa kwa ajili ya utayarishaji ramani.
  • Kuchambua, kushona, kukata na kuunganisha nyaraka zilizochapwa.

KITENGO CHA MALIASILI  Ndani ya kitengo cha Maliasili  pia kuna vitengo vikuu vitatu (3) navyo ni:-

Misitu , Nyuki na Wanyamapori.

MISITU

Majukumu ya Kitengo hiki

  • Kusimamia shughuli zote za upande wa misitu.
  • Kusimamia watumishi wote wa upande wa misitu walioko makao makuu na kwenye kata.
  • Kusimamia shughuli za Mkuhumi na mkaa endelevu na utoaji vibali kwa wavunaji wa mazao ya misitu.
  • Kusaidiana na Afisa wanyama pori wilaya katika kuratibu na kufuatilia shughuli za sehemu ya wanyamapori.
  •  Kuwapangia kazi na kusimamia watumishi wa misitu waliopo makao makuu na kwenye kata.

    WANYAMAPORI

        Majukumu ya Kitengo hiki

  • Doria kusimamia sheria, taatibu na miongozo ya Idara.
  • Kulinda maisha ya wananchi na mali zao dhidi ya wanyamapori waharibifu na wakali.
  • Kutoa elimu ya uhifadhi, usimamizi na matumizi endelevu ya wanyama pori.
  • Ukusanyaji maduhuli na kazi za utawala.

Tangazo

  • MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA KWA MWAKA 2021 December 18, 2020
  • MAELEKEZO YA KUJIUNGA (JOINING INSTRUCTION) KIDATO CHA KWANZA 2021 KATIKA SHULE ZA SEKONDARI ZA HALMASHAURI YA WILAYA KILOSA December 24, 2020
  • ZABUNI January 31, 2017
  • SOMA KATIBA ILIYOPENDEKEZWA March 24, 2017
  • Angalia zote

Habari za sasa

  • Kata ya Malolo wapongezwa kwa ujenzi wa kituo cha Afya

    April 20, 2021
  • Kikundi cha KIWASAI chafaidika na vifaranga vya samaki 1000

    April 15, 2021
  • Someni taarifa za mapato na matumizi ili shughuli za maendeleo ziende

    March 19, 2021
  • Simamieni ipasavyo matumizi ya rasilimali za Umma

    March 18, 2021
  • Angalia zote

Video

HIFADHII YA WANYAMA MIKUMI
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • CHF ILIYOBORESHWA
  • MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA
  • MFUMO WA FFARS
  • MFUMO WA KIBALI KUSAFIRI NJE YA NCHI
  • MFUMO WA PLANREP

Kurasa za Mfanano

  • Tamisemi
  • Utumishi
  • NECTA
  • Jamhuri ya Muungano Tanzania
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Mkoa Morogoro

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo la Ramani

Wasiliana Nasi

    Halmashauri ya Wilaya Kilosa

    Sanduku la posta: S.L.P 65 Kilosa

    Simu: 023 2623093

    Simu: +255714800948

    Barua Pepe: ded@kilosadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hatimiliki imehifadhiwa ©2017 Halmashauri ya Wilaya Kilosa